When you are grieving, the arrangements should not be the heaviest part. We coordinate them and guide your family through each step, working with experienced and reputable partners.Unapokuwa kwenye majonzi, mipango haipaswi kuwa mzigo mzito zaidi. Tunairatibu na kuiongoza familia yako katika kila hatua, tukishirikiana na washirika wazoefu wenye sifa njema.

If it has just happenedKama imetokea sasa hivi

Please accept our condolences. Here is where to begin.Pole sana kwa msiba. Anzia hapa.

  1. 1

    Take a momentTulia kidogo

    Nothing has to be decided all at once. Have one relative stay close to you.Si lazima kuamua kila kitu mara moja. Mwombe ndugu mmoja abaki karibu nawe.

  2. 2

    Keep the documents you are givenTunza nyaraka unazopewa

    Keep any papers from the hospital or local leaders together. We will talk through them with you.Weka pamoja karatasi zote kutoka hospitali au kwa viongozi wa mtaa. Tutazipitia pamoja nawe.

  3. 3

    Call or message usTupigie au tutumie ujumbe

    Any family member can call. Tell us what happened and where, and we will plan the next steps together.Mwanafamilia yeyote anaweza kupiga simu. Tuambie kilichotokea na mahali, tutapanga hatua zinazofuata pamoja.

Speak to someoneOngea na mtu

0717 380 974 0769 436 717 WhatsApp

What we arrangeTunachopanga

Coordination and planningUratibu na mipango

One point of contact who keeps the whole arrangement moving.Mtu mmoja wa kuwasiliana naye anayesimamia mipango yote.

Tents, chairs and tablesMahema, viti na meza

Equipment supplied and arranged for the mourners you expect.Vifaa vinaletwa na kupangwa kulingana na idadi ya waombolezaji.

CasketsMajeneza

Help in choosing and arranging a casket for your loved one.Msaada wa kuchagua na kupata jeneza la mpendwa wako.

Flowers and wreathsMaua na mashada

Floral arrangements and wreaths prepared with care.Maua na mashada yanayoandaliwa kwa umakini.

Transport and logisticsUsafiri na mipango yake

Local and upcountry journeys, planned for the family.Safari za mjini na mikoani, zinazopangwa kwa ajili ya familia.

Memorial and thanksgiving servicesIbada za kumbukumbu na shukrani

Services that remember a life and give thanks for it.Ibada za kukumbuka maisha ya mpendwa na kushukuru.

How we walk with youTunavyotembea nawe

01

We listenTunasikiliza

You tell us about your loved one, your family's wishes and your traditions or faith.Unatueleza kuhusu mpendwa wako, matakwa ya familia, na mila au imani yenu.

02

We plan togetherTunapanga pamoja

We agree on what is needed and shape the plan around your budget.Tunakubaliana mahitaji na kupanga kulingana na bajeti yenu.

03

We coordinateTunaratibu

Equipment, flowers, transport and refreshments are handled, so the family can be present.Vifaa, maua, usafiri na viburudisho vinashughulikiwa, ili familia iwepo kwa utulivu.

04

We rememberTunakumbuka

When the family is ready, we help arrange memorial and thanksgiving services.Familia ikiwa tayari, tunasaidia kuandaa ibada za kumbukumbu na shukrani.

Send us the details when you are ableTutumie maelezo unapoweza

Choose what you need. It only takes a minute.Chagua unachohitaji. Inachukua dakika moja tu.

What do you need?

We prepare a message with your details, and you check it before it is sent.

Chat with usOngea nasi